Jifunze zaidi kuhusu kujeruhi na uandishi wa habari
Kituo cha Dart Ulaya ni kitovu ni kotvu cha Kituo ya Dart inayotegemeya ku ripoti kwa habari kuhusu kiwewe, Shule ya Uzamili wa Uandishi wa Habari, Mradi wa Chuo Kikuu cha Columbia. Imejitolea kutoa ripoti za habari, ubunifu na maadili kuhusu vurugu, mizozo na misiba, na pia mafunzo na kuunda nafasi ya kutafakari kwa waandishi wa habari na watengenezaji wa filamu ulimwenguni.
Chunguza mavuti kwa rasilimali za kina na ushahuri wa vitendo kuhusu kufunika hadithi zenye kuwa na mada ngumu zaidi.
Pakua makala kwa PDF
Tuliunda miongozo hii ili kufungua mazungumzo nakuongeza uelewa. Miongozo hii ilifanywa kushiriki. Na kwa hiyo, tafadhali, pakua na usamabaze kwa mtu yoyote ili waweze kufaidika.
Maswali matatu ya msingi ya kujiuliza kabla ya kuanza:
RASILIMALI ZOTE-SEHEMU ZOTE:
Dart Centre Europe
Nambari ya usajili wa hisani nchini Uiengereza na Wales: 1172731
Tafadhali wasiliana nasi. Tunakaribisha maoni.